Mapadre nyamira wasema wazazi wanapuuza majukumu yao - Citizen TV Kenya

16 hours ago 55


Mapadre wa kanisa Katoliki katika kaunti ya Nyamira wamewashauri wazazi kuwa waangalifu kwa wana wao wakati huu wa likizo, kutokana na kukithiri kwa visa vya uhalifu na matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana
Open Full Post