Mamlaka ya IPOA yakana kumuondolea lawama naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat

4 hours ago 1


Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa Polisi IPOA, imekana kumuondolea lawama naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat, kuhusu mauaji ya Albert Ojwang'. Taarifa ya IPOA ikifuatia ripoti za kurejea ofisini kwa Lagat. Haya yanajiri huku mahakama kuu ikidinda kutoa amri ya kumzuia Lagat, kuendelea kutekeleza majukumu yake,
Open Full Post