Mamake Bridgit Njoki Awatumia Polisi Ujumbe Mzito Akimzika Bintiye: "Pesa Haiwezi Kumrudisha" - Tuko.co.ke
Mamake msichana wa miaka 12 aliyepigwa risasi wakati wa maandamano ya Saba Saba siku ya Jumatatu, Julai 7, aliandika rambirambi ya kuhuzunisha akienzi bintiye.