Mama yake Albert Ojwang' mwenye huzuni amshukuru mke wa mwanawe kwa kusimama naye kijeshi
Mamake Albert Omondi Ojwang' Eucabeth Adhiambo Ojwang' alisema alijaaliwa nguzo imara katika msiba wa mwanawe na nguzo hiyo ni Nevnina Anyango, mke wa mwanawe.