Mama Achanganyikiwa baada ya Mochari Kukataa Kupokea Mwili wa Mwanawe Aliyeuawa Katika Maandamano
Ann Nyawira alieleza kuwa mwanawe, Brian Kimutai, mwenye umri wa miaka 21, alipigwa risasi na kuuawa Jumatatu, Julai 7, wakati wa maandamano ya Saba Saba.