Mahamoud Youssouf: Mwenyekiti wa AUC atua Kenya miezi baada ya kumshinda Raila Odinga
4 days ago
8
Mwenyekiti wa AUC Mahmoud Youssouf alikaribishwa na Rais William Ruto katika Ikulu ya Nairobi, Juni 26. Ziara yake ilifanyika miezi minne baada ya kura ya AUC.