Mahakama yaagiza kukamatwa kwa mbunge huyu wa Juja - Citizen TV Kenya

5 hours ago 275


Mahakama ya Nairobi imeagiza kukamatwa kwa mbunge wa Juja George Koimburi. Hii ni baada ya Koimburi kukosa kufika mahamani kujibu mashtaka ya kujiteka nyara.
Open Full Post