Magazeti ya Kenya: Serikali yapendekeza faini, kifungo jela kwa wanaoandamana maeneo yanayolindwa
4 days ago
4
Mswada umependekezwa katika Bunge la Kitaifa wa kulilinda bunge na vituo vingine muhimu dhidi ya umma wakati wa maandamano, na kupendekeza faini na kifungo jela.