Magazeti ya Kenya: Familia ya Boniface Kariuki yaandikisha taarifa polisi huku Ruto akiwapa KSh 1m
6 days ago
5
Rais William Ruto, kupitia kwa Mbunge wa Murang’a Betty Maina, alitoa KSh1 milioni kwa familia hiyo. Msaada huo umetolewa wakati wa mkutano wa maombi Kangema.