Maafisa wa serikali wajigawia mbuzi wa watu masikini

1 day ago 2


Wakazi wa kaunti ndogo ya Kilungu kaunti ya makueni wamewakosoa baadhi ya maafisa wa serikali ambao walijigawia mbuzi waliokuwa wametolewa na wizara ya kilimo kwa watu walioathiriwa na mvua mwaka uliopita
Open Full Post