Maafisa wa afya wakabidhiwa kandarasi za kudumu Makueni - Citizen TV Kenya
Serikali ya Makueni imewapa kandarasi za kudumu wafanyikazi 216 wanaohudumu katika idara mbambali katika wizara ya afya katika kaunti hiyo .Hafla ya kuwapokeza barua za kandarasi hiyo ya kudumu inafanyika hii leo katika hospitali ya kinamama na wamtoto mjini Wote