Lancet imeonya kuhusu vifo vya watu milioni 14 kutokana na kusitishwa kwa misaada ya USAID

18 hours ago 2


Mamia ya watu duniani huenda wakafariki kutokana na kujiondoa kwa mashirika ya msaada kutoka kwa serikali ya Marekani. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Marco Rubio ametangaza kusitishwa kabisa kwa miradi iliyokuwa ikitekelezwa na shirika la USAID. Brenda Wanga anaarifu
Open Full Post