Kiwanda cha Miciimikuru kimeanzishwa eneo la Tigania - Citizen TV Kenya

5 hours ago 165


Kiwanda Cha Majani Chai cha Miciimikuru, kimeanza Ujenzi wa Kiwanda kipya Cha Majani Chai eneo la Amugaa, Eneo bunge la Tigania Mashariki kaunti ya Meru. Kiwanda hicho kipya kitakapokamilika Kitasaidia kusiaga idadi kubwa ya Majani Chai ambayo kiwanda cha sasa kinashindwa kuhudumia
Open Full Post