Kipchumba Murkomen azidi kujipiga kifua, ajitetea kuhusu amri yake ya "piga risasi ua"
3 days ago
8
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen alifafanua kwamba hakuwaamuru polisi kuwapiga risasi raia na kuua alipokuwa akiwashauri kuhusu kujilinda.