Kipchumba Murkomen awapa askari ruhusa ya kuua yeyote atakayeandamana karibu na vituo vya polisi

5 days ago 8
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amewaidhinisha maafisa wa polisi kutumia nguvu kwa yeyote anayekaribia au kutishia vituo vya polisi.
Open Full Post