Kilo 350 za bhangi ya thamani ya sh. Millioni 9 imenaswa - Citizen TV Kenya
11 hours ago
275
Zaidi ya kilo 350 za Bhangi yenye thamani ya shilingi cardinal tisa imenaswa katika kijiji cha Watoya kwenye barabara kuu ya Bungoma Mumias huku washukiwa wakitoweka