Ripoti ya uchunguzi wa mwili wa Brian Ndung'u Wanjiru, kijana wa miaka 17 ambaye alipigwa risasi wiki iliyopita wakati wa maandamano katika eneo la Olkalou kaunti ya Nyandarua imebainisha kuwa alifariki kutokana na majeraha ya risasi
Kijana Brian Ndung'u Wanjiru alipigwa risasi