Mchuano wa voliboli kwa walemavu barani Afrika itaanza rasmi leo alasiri katika uwanja wa kasarani hapa jijini Nairobi.
Kenya itachuana na Rwanda upande wa wanawake