Kauli ya shirika la utafiti wa magonjwa ya watoto - Citizen TV Kenya

10 hours ago 110


Viongozi wa dini na wa kisiasa kutoka kaskazini mashariki mwa kenya wamehidi kuhamasisha umma kuhusu chanjo ya virusi vya papiloma hpv katika eneo lao, wakielezea kuwa kiwango cha wasichana ambao wapepokea chanjo hiyo kiko chini mno miaka mitano tangu kuanzishwa. Viongozi hao, waliokutana na muungano wa utafiti wa magonjwa ya watoto wa kenya (KEPRECON), wametaja vikwazo vya kitamaduni na imani potovu kuwa sababu kuu ya hali hiyo
Open Full Post