James Barasa Mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu - Citizen TV Kenya

15 hours ago 55


Mwakilishi wadi wa chwele/kabuchai katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma James Barasa mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu katika hospitali moja mjini bungoma baada ya kuugua ugonjwa wa saratani
Open Full Post