Jackson Ole Sapit asema lazima wahuni na waporaji wakamatwe na kufunguliwa mashtaka: "Tunalaani"
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana la Kenya, Jackson Ole Sapit, alitoa shutuma kali dhidi ya wimbi la uvunjaji sheria ambalo limeenea kote nchini.