Gavana wa Kaunti ya Kajiado, Joseph ole Lenku, amewataka wakazi wa kaunti hiyo kujisajili kwa bima ya afya ili waweze kupata huduma bora za matibabu
Gavana Ole Lenku awataka wakazi kujisajili kwenye bima ya SHA - Citizen TV Kenya