Fred Matiang’i asema hausiani na chama chochote cha kisiasa licha ya kuidhinishwa na Jubilee

4 days ago 4
Mgombea urais Fred Matiang’i bado hajaamua kuhusu chama atakachotumia kuwania 2027. Kulingana naye, bado anafanya mashauriano kwa upana kuhusu hatua yake
Open Full Post