Familia ya Boniface Kariuki yasema ilihadaiwa kuhusu kifo chake, yasema huenda alifariki kitambo
Familia ya Boniface Kariuki ilitilia shaka tarehe aliyokufa mwanao, ikidai kuwa huenda alifariki mapema kuliko ilivyotangazwa. Madai yao yalichochea hisia za umma.