Familia ya Albert Ojwang Yamkana Madai ya Eric Omondi na KSh10m ya Michango

11 hours ago 2
Familia ya Albert Ojwang ilifafanua kuhusu michango halisi iliyopokelewa, ikitupilia mbali dai la Eric Omondi la KSh 10m wakati wa misa ya misa ya mahitaji.
Open Full Post