Emmanuel Khaingah: Jamaa Aliyemwokoa Polisi wa Kike Kutoka kwa Waandamanaji Wenye Hasira Azungumza
15 hours ago
3
Emmanuel Khaingah amesimulia matukio yaliyomfanya kumkinga askari Emily Kanyi dhidi ya waandamanaji wenye hasira wakati wa maandamano ya ukumbusho ya Juni 25.