Duka la Nice Digital Vity huko Mwea lafunguliwa tena
Baada ya maduka yake kadhaa kuharibiwa wakati wa maandamano ya saba saba, duka la pamoja la Nice Digital City lililoko Mwea kaunti ya Kirinyaga, limerejelea shughuli siku saba baada ya kuporwa na wahuni.