Diogo Jota: Maelezo mapya yanaibuka kuhusu sababu ya ajali iliyomuua nyota wa soka Uhispania
Polisi nchini Uhispania wamefichua ni nani aliyekuwa akiendesha gari lililomuua nyota wa Liverpool Diogo Jota na kaka yake mnamo Alhamisi, Julai 3, huko Zamora.