Dawa za wadudu zanaswa Malindi - Citizen TV Kenya
Watu watatu wamekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini malindi kwa kosa la kuuza dawa za wadudu zisizoruhusiwa humu nchini. Bodi ya kuthibiti dawa za wadudu nchini PCPB imewataka wamiliki wa maduka ya kuuza dawa hizo kukoma kuuza dawa zilizoharamishwa