Chuo kikuu cha KEMU chatengeza ndege isiyo na rubani - Citizen TV Kenya
Chuo Kikuu Cha KEMU kimeanzisha masomo ya uundaji, uendeshaji ma matumizi ya ndege isiyo na rubani maarufu Drone, ikilenga kuimarisha utafiti kwa wanafunzi wa nyanja za juu, pamoja na kuwapa wanafunzi Ujuzi wa Ziada