Charles Owino Adai Mchuuzi wa Maski Aliyepigwa Risasi Aliwatukana Polisi: "Sikilizeni Kwa Makini"
1 day ago
8
Kariuki alipigwa risasi na afisa wa polisi Klinzy Barasa alipokuwa akiuza maski wakati wa maandamano yaliyosababishwa na kuuawa kwa bloga Albert Ojwang.