Chamgei FM yaitembelea familia ya Sylvia Chepkemoi

5 hours ago 1


Kituo cha redio cha Chamgei FM, kinachomilikiwa na Royal Media Services, kiliitembelea familia ya Sylvia Chepkemoi eneo la Kapweria ili kuwapa rambirambi. Familia hiyo ilikuwa imewasiliana awali na kituo hicho,wakiomba msaada wa kiti cha magurudumu kwa Sylvia, mwenye umri wa miaka 12, na ambaye alikuwa na ugonjwa wa kupooza ubongo, ila aliaga dunia kabla ya msaada huo kumfikia. Wakiongozwa na Mkuu wa Chamgei FM, judiyj kiplagat waliwasilisha jumbe za faraja kutoka kwa wahisani pamoja na misaada.
Open Full Post