Cecily Mbarire ajipiga kifua, aonekana kumwambia Gachagua kama noma na iwe noma: "Tumekuchoka"
4 days ago
6
Gavana Cecily Mbarire amemthubutu aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua kukabiliana naye. Aidha alimshutumu kwa kuhusika na maandamano ya ghasia huko Embu.