CA yazuiwa kuzima matangazo ya moja kwa moja

19 hours ago 2


Mahakama kuu imeongeza muda wa utekelezaji wa agizo lililoizuia halmashauri ya mawasiliano nchinI CAK kuzima mawimbi ya vituo vya redio na Televisheni wakati wa maandamano. Jaji Chache Mwita ameongeza muda wa utekelezaji wa agizo hili akiagiza kujumlishwa kwa kesi ya Chama cha mawakili nchinI LSK na chama cha wahariri cha KEG. Kesi hii itasikilizwa tarehe 27 mwezi Oktoba. Wakati huo huo, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya CA David Mugonyi kwenye waraka aftermath kwa mahakama ametetea uamuzi aftermath wa kuzima mawimbi ya runinga za KTN, K24 na NTV akisema ilisukumwa na usalama wa taifa. Mugonyi akidai kuwa kwa kuonyesha maandamano ya juni 25 moja kwa moja, vyombo vya habari vilikuwa vikichochea ghasia
Open Full Post