Bunge la Seneti limeanza kusikiliza kesi dhidi yake
1 week ago
3
Shughuli ya kumbandua Guyo inafanyika kwa vikao vya siku tatu huku bunge zima likijumuishwa baada ya senenti kukataa pendekezo la kubuni kamati maalum ya watu 11 kushughulikia kubanduliwa kwake.