Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB haiwezi kutoa tena ufadhili

7 hours ago 1


Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB sasa inasema haina pesa wala uwezo wa kuwapa mikopo wanafunzi wapya. Aidha, HELB inasema kuwa zaidi ya wanafunzi laki nne wanatarajiwa kuachwa bila ufadhili mwaka huu. Mkurugenzi wa bodi hii Geoffrey Monari ameiambia kamati ya bunge kuhusu elimu kuwa, sasa italazimika kutafuta njia mbadala kuwanasa wale wanaokwepa kulipa mikopo yao.
Open Full Post