Binti wa miaka 29 anabeba vitu kwa kutumia Foko - Citizen TV Kenya
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 29 amewashangaza wengi kwa kujitosha kwenye kazi ya kuinua na kubeba vitu kwa kutumia foko kwenye ujenzi wa jumba ambalo linatarajiwa kuwa la pili kwa urefu zaidi humu nchini. Anne ashinami ni mmoja wa wanaojenga jumba hilo hapa jijini Nairobi