Babu Owino ataka DIG Eliud Lagat akamatwe, kufungwa maisha jela kwa kifo cha Albert Ojwang
5 days ago
6
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ametaka DIG Eliud Lagat akamatwe na kuwajibishwa kwa kuhusishwa na kifo cha Albert Ojwang aliyekuwa mikononi mwa polisi.