Baadhi ya wakazi waandamana mjini Nanyuki

4 hours ago 2


Hali ya taharuki imetanda katika kitongoji duni cha Likii mjini Nanyuki baada ya maafisa wa usalama kuwazuia waandamanaji kuingia mjini Nanyuki. Wakazi hao wanaandamana wakidai haki ya Julia Njoki, msichana anayedaiwa kuuawa na maafisaa wa polisi akiwa rumande baada ya maandamano ya sabasaba
Open Full Post