Baadhi ya viongozi wa kisiasa waisifu serikali ya Kenya Kwanza - Citizen TV Kenya

6 hours ago 110


Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Busia wameendelea kutetea uamuzi wao wa kuiunga mkono serikali ya kitaifa wakitaja miradi kadhaa ya maendeleo iliyoanzishwa katika kaunti hiyo na serikali kuu
Open Full Post