Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepinga madai ya Rais Ruto

1 week ago 220


Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepinga madai ya Rais William Ruto kuwa upinzani unapanga kumuondoa ofisini kupitia njia zisizo za kikatiba. Gachagua amesema kuwa upinzani unajiandaa kwa uchaguzi wa mwaka wa 2027 na utahakikisha Ruto ni rais wa muhula mmoja
Open Full Post