Albert Ojwang': Video za nyumba inayojengewa familia ya marehemu bloga zaibuka
Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga anajenga nyumba kwa ajili ya familia ya Ojwang. Picha na video za nyumba huko Kasipul ambayo bado inajengwa zimeibuka.