Albert Ojwang: Video ya Babake Bloga Akijaribu Kuwatuliza Wananchi Waliobeba Mwili wa Mwanawe Yazuka
1 day ago
1
Video ya Mzee Meshack Opiyo, babake Albert Ojwang akijaribu kuwatuliza waandamanaji waliokuwa wamebeba jeneza la mwanawe imeibuka. Wakenya walimhurumia.