Albert Ojwang: Jamaa afika katika mazishi ya bloga Homa Bay juu ya punda aliyemvalisha nguo
Albert Ojwang aliuawa akiwa mikononi mwa polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya kuchapisha taarifa ya kashfa kumhusu Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat.