Albert Ojwang': Hisia zachemka huku mwili wa bloga aliyeuawa ukiwasili kanisani kwa misa ya wafu
3 days ago
3
Misa ya wafu ya Albert Ojwang ilibadilika na kuwa yenye hisia tele huku mashaka juu ya sababu ya kifo chake yakiongezeka. Tangu kuuawa kwake watu kadhaa wamekamatwa.