Albert Ojwang: Danstan Omari Amtema James Mukhwana, Aacha Kumuwakilisha Kwenye Kesi ya Mauaji
Wakili Danstan Omari amejiondoa katika kumwakilisha Konstebo wa Polisi James Mukhwana, mshukiwa mkuu katika kesi inayohusu kifo cha mwanablogu Albert Ojwang’.